Mradi wa gesi asilia ya kimiminika (LNG) wenye thamani ya Dola bilioni 42 (zaidi ya Sh106 trilioni), unaotarajiwa kujengwa mkoani Lindi, umeingia hatua ya mwisho ya kisheria baada ya Serikali kukamilisha mazungumzo muhimu na wawekezaji.

Back to Home
Mradi wa LNG wa Sh106 trilioni wafikia hatua ya mwisho
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
