Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Arusha, imemhukumu kutumikia kifungo cha nje cha miaka miwili mtoto wa miaka 17 aliyekiri kumsaidia mtu aliyefanya mauaji ya kukusudia kuficha mwili wa marehemu ili kumwezesha kukwepa mkono wa sheria.

Back to Home
Mtoto aliyemsaidia muuaji kufukia mwili afungwa nje miaka miwili
Mwananchi about 5 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
