Wakati Tanzania ikitangaza kugundua gesi asilia inayokadiria kufikia futi za ujazo bilioni 223, wananchi wa Mtwara wameeleza matumaini yao wakitaka rasilimali hiyo iwanufaishe pia wakazi wa mkoa huo.

Back to Home
Mtwara waeleza matumaini ongezeko la gesi asilia
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
