Upendo wake kwa taaluma ya uuguzi ndio uliomfanya Mariam Mohamed kuichagua na kuitumikia kwa miaka 40, akitumia sehemu kubwa ya maisha yake kuwahudumia wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa.

Back to Home
Muuguzi mstaafu aendelea kuhudumia jamii baada ya miaka 40 kazini
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
