Zaidi ya nyumba 70 za makazi pamoja na makanisa mawili zimeezuliwa na kubomolewa na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, na kuwaacha baadhi ya wananchi bila makazi, chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu.

Back to Home
Mvua ya mawe yabomoa nyumba zaidi ya 70 Kigoma, wananchi wakosa makazi
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
