Baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa siku 13, hatimaye kiongozi wa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Colletha Clavery Ntidyicha amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kwa kesi ya ugaidi.

Back to Home
Mwenyekiti Bavicha Kigoma ashtakiwa kwa ugaidi Dar
Mwananchi about 6 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
