Nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika zimetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kuhakikisha upatikanaji wa fedha za uhifadhi na kuboresha usimamizi wa rasilimali ili kulinda mfumo wa ikolojia wa ziwa hilo na kudumisha maisha ya takribani watu milioni 13 wanaotegemea bonde la ziwa hilo.

Back to Home
Nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika zakumbushwa jukumu la uhifadhi wa rasilimali
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
