Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limependekeza mabadiliko ya sheria yatakayowezesha kuanzishwa kwa Mamlaka ya Taifa ya Usimamizi wa Mazingira (Nema), kwa lengo la kuimarisha usimamizi wa mazingira na kurahisisha biashara na uwekezaji nchini.

Back to Home
NEMC yapendekeza mabadiliko ya sheria kuanzisha Nema
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
