Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameshindwa kupata wingi wa viti unaohitajika kuunda Serikali baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu kuonyesha kambi yake ikipungukiwa na viti vinane kufikia idadi inayotakiwa.

Back to Home
Ngoma ngumu uchaguzi Israel, Netanyahu, Eisenkot wahaha
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
