Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeokoa Sh47.26 bilioni kupitia udhibiti wa udanganyifu, huku idadi ya Watanzania wanaonufaika na huduma za bima ya afya ikiongezeka kutoka asilimia nane hadi asilimia 10.7, huku ikijipanga kusajili wanachama kwa asilimia 20 ifikapo Juni 2027, kutoka asilimia 10.7 ya sasa.

Back to Home
NHIF yaokoa Sh47.26 bilioni kwa kudhibiti udanganyifu, yajipanga kusajili wanachama
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
