Kulikuwa na wakati katika jamii ambapo taaluma ya ualimu ilikuwa kilele cha heshima na ndoto ya wengi. Vijana walitamani kufika mahali pa kusimama mbele ya darasa, wakifundisha na kuongoza kizazi kijacho.

Back to Home
Nimekumbuka enzi kila mtu alipotamani kuwa mwalimu
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
