Loading trending stories…
Nkasi kuweka mfumo wa kielektroniki kudhibiti utoro wa watumishi
Back to Home

Nkasi kuweka mfumo wa kielektroniki kudhibiti utoro wa watumishi

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Mohamed Mtulyakwaku, ameagiza ofisi zote za umma wilayani humo kuweka mifumo ya kielektroniki ya kusajili mahudhurio ya watumishi wanapoingia na kutoka kazini, akionya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kutohudhuria kazi bila sababu za msingi.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.