Benki ya NMB imetenga Sh2 bilioni kusaidia kampuni changa za teknolojia ya kifedha (startups) kuunganisha bunifu zao na mifumo yake ya kibenki, huku ikilenga kuongeza kampuni hizo hadi 30 ifikapo mwaka 2030 kutoka sita zilizounganishwa kwa sasa.

Back to Home
NMB yatenga Sh2 bilioni kusaidia startups, Ndejembi atia neno
Mwananchi 21 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
