Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imemuhukumu Athumani Rashid (47) kifungo cha miaka 20 jela baada ya kumtia hatiani kwa kumiliki nyara za Serikali, ikiwemo nyama ya digidigi.

Back to Home
Nyama ya digidigi yampeleka jela miaka 20
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
