Nyumba za maendeleo zilizojengwa Zanzibar baada ya Mapinduzi, ambazo kwa miongo kadhaa zimekuwa makazi ya wananchi, zinatarajiwa kubomolewa na kujengwa upya kutokana na uchakavu unaohatarisha usalama wa wakazi.

Back to Home
Nyumba za Mapinduzi Kilimani, Michenzani kubomolewa, Rais Mwinyi ataja sababu
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
