Panya weupe wa maabara kutoka Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Mkoani Iringa, wamekuwa kivutio katika Maonyesho ya Mufindi Investment Forum and Expo 2026, huku wananchi wengi wakitembelea banda hilo kujifunza matumizi na umuhimu wa panya hao katika tafiti mbalimbali.

Back to Home
Panya weupe wa maabara kivutio maonyesho ya Mufindi
Mwananchi 24 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
