Wakati wafanyabiashara mkoani Dodoma wakihamasika kufanya biashara usiku, Jeshi la Polisi limeahidi kuimarisha usalama huku likiwataka wazingatie sheria, utaratibu na masharti ya leseni zao.

Back to Home
Polisi Dodoma yawahakikishia usalama wanaofanya biashara usiku
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
