Jeshi la Polisi Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza linatarajia kufanya operesheni ya kukagua uwepo wa kamera za CCTV katika hosteli za wanafunzi, baada ya kuwataka na kuwahamasisha wamiliki wa hosteli hizo kufunga vifaa hivyo kwa lengo la kuimarisha usalama wa wanafunzi katika vyuo mbalimbali jijini Mwanza.

Back to Home
Polisi Mwanza kukagua kamera za usalama hosteli za wanafunzi
Mwananchi 9 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
