Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema jeshi hilo limepokea taarifa za baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasishana ndani na nje ya jiji kuingia Dar es Salaam wakiwa na nia ya kufanya fujo.

Back to Home
Polisi yaonya wanaopanga kufanya fujo siku ya hukumu ya Lissu
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
