Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, huku akimteua Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, kushika wadhifa huo.

Back to Home
Rais Samia amteua Dk Mabula, amtengua Malisa
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
