Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) amewasilisha bungeni azimio la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mchango wake katika kufanikisha Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), uliofanyika Arusha Oktoba 5 hadi 9, 2026.

Back to Home
Rais Samia apongezwa kufanikisha mkutano wa IPU Arusha
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
