Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua Mji wa Serikali wa Mtumba, jijini Dodoma unaojulikana kama Magufuli City, Ijumaa ya Oktoba 30, 2026, katika hatua inayotarajiwa kukamilisha rasmi mchakato wa kuhamishia makao makuu ya Serikali jijini Dodoma.

Back to Home
Rais Samia kuzindua Mji wa Kiserikali Oktoba 30
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
