Loading trending stories…
RC Sirro atoa tahadhari baada ya mvua kuathiri nyumba 121 Kigoma
Back to Home

RC Sirro atoa tahadhari baada ya mvua kuathiri nyumba 121 Kigoma

Mwananchi about 3 hours 1 mins read
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amewataka wananchi wanaoishi maeneo hatarishi, hususan mabondeni, kuhama ili kunusuru maisha yao baada ya mvua kubwa zilizoambatana na upepo mkali kuathiri nyumba 121, makanisa manne na ghala moja katika Manispaa ya Kigoma Ujiji.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.