Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amempa siku tatu mzabuni anayejenga vyumba vinne vya madarasa katika Shule ya Msingi Kidogozero, Wilayani Chalinze, Mkoa wa Pwani, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo, akionya kuwa anaweza kuchukuliwa hatua ikiwamo kuondolewa.

Back to Home
Ridhiwani ampa mzabuni siku tatu kuongeza kasi, huku akimpa tahadhari
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
