Loading trending stories…
Ridhiwani: Bidii, nidhamu, maadili msingi kuboresha huduma kwa wananchi
Back to Home

Ridhiwani: Bidii, nidhamu, maadili msingi kuboresha huduma kwa wananchi

Mwananchi 10 minutes 1 mins read
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka madiwani na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani, kuimarisha ushirikiano, kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma ili kuboresha huduma kwa wananchi.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.