Biashara za mamilioni ya fedha zinazoendeshwa na vijana Watanzania katika sekta ya madini zimekuwa kichocheo cha mfanyabiashara na mchumi, Rostam Aziz, kuitaka Serikali kupitia wizara nyingine kuiga mfano wa Wizara ya Madini katika kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi.

Back to Home
Rostam: Wizara ya Madini imefungua njia, nyingine ziige
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
