Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zakaria Obadi amekamatwa usiku akiwa nyumbani kwake, akashikiliwa kwa saa kadhaa na baadaye kuachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga.

Back to Home
Saa 10 za kukamatwa, kuachiwa kigogo wa Chadema
Mwananchi 21 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
