Watu saba wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya tuhuma za kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kupanda kwenye minara usiku na kisha kuiba vifaa vinavyotumika kusafirisha umeme wa Gridi ya Taifa.

Back to Home
Saba mbaroni Mbeya wizi vifaa kusafirisha umeme Gridi ya Taifa
Mwananchi about 6 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
