Loading trending stories…
Sakata la mashangingi, Bunge labebeshwa zigo, wadau wataka sheria
Back to Home

Sakata la mashangingi, Bunge labebeshwa zigo, wadau wataka sheria

Mwananchi about 3 hours 1 mins read
Wadau wa masuala ya sheria na utawala bora wamelitaka Bunge liweke msingi wa kisheria wa kudhibiti ununuzi na matumizi ya magari ya kifahari kwa viongozi wa Serikali, wakisema hatua hiyo itasaidia kuimarisha uwajibikaji na kuelekeza fedha za umma kwenye huduma za wananchi.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.