Loading trending stories…
Same yatenga siku saba kudhibiti tembo
Back to Home

Same yatenga siku saba kudhibiti tembo

Mwananchi 10 minutes 1 mins read
Serikali ya Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, inatarajia kuanza operesheni ya siku saba ya kudhibiti wanyamapori wakali na waharibifu, hususan tembo wanaovamia makazi na mashamba ya wananchi na kusababisha majeraha pamoja na uharibifu wa mazao.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.