Mpango wa Serikali wa 2027/28 unatarajia kubebwa na Sekta binafsi inayotarajia kugharamia Sh62.3 trilioni, sawa na takribani asilimia 70 ya Sh89.3 trilioni zinazokadiriwa kukusanywa na kutumika kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka huo.

Back to Home
Sekta binafsi kubeba Sh62.3 trilioni za Mpango wa Maendeleo 2027
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
