Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian, amesema Serikali haitavumilia vitendo vya watu wanaotumia fedha kuingilia mwenendo wa kesi za migogoro ya wakulima na wafugaji, akisisitiza kuwa kesi zitakazofikishwa mahakamani zitafuatiliwa hadi mwisho ili kuhakikisha haki inatendeka.

Back to Home
Serikali Tanga kufuatilia kesi za migogoro ya wakulima, wafugaji
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
