Serikali imeingilia kati mgogoro baina ya jamii mbili za Wamaasai katika Kata za Kimnyaki na Lengijave, Wilaya ya Arumeru na kufanikiwa kusimamia urejeshaji wa mifugo 52 iliyochukuliwa katika mvutano huo.

Back to Home
Serikali yaingilia kati, mifugo 52 yarejeshwa
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
