Serikali imewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kuzingatia usanifu na ujenzi wa majengo na miundombinu inayoweza kustahimili athari za mabadiliko ya tabianchi, huku wakihimizwa kutumia teknolojia za kidijitali na mbinu endelevu kuboresha usalama, ubora na ufanisi wa miradi.

Back to Home
Serikali yataka ujenzi unaostahimili mabadiliko ya tabianchi
Mwananchi 21 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
