Serikali imesema Sh730 bilioni zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na athari za mvua za El Niño ni jumla ya fedha zilizopangwa na taasisi mbalimbali za umma na binafsi, na si fedha zilizowekwa sehemu moja kama baadhi ya watu wanavyodai.

Back to Home
Serikali yatoa kauli tena Sh730 bilioni za El Niño
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
