Wananchi wa Lindi wanatarajiwa kunufaika na mradi wa kuchakata na kusafirisha gesi asilia (LNG), ambao Serikali imesema maandalizi yake yamefikia hatua nzuri, huku ikiendelea kutekeleza miradi ya kijamii kabla ya uwekezaji huo kuanza rasmi.

Back to Home
Sh1.27 bilioni kujenga shule, LNG kuipa Lindi sura mpya
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
