Uwekezaji wa Sh34 milioni katika mradi wa ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba ndani ya Ziwa Victoria umeanza kuzaa matunda baada ya vikundi viwili vya wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) kupata mapato ya Sh27 milioni katika mavuno ya kwanza.

Back to Home
Sh34 milioni Tasaf zilivyoleta mageuzi mradi wa samaki
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
