Miradi hiyo yenye thamani ya Dola za Marekani milioni mbili (Sh5.285 bilioni) ni sehemu ya awamu ya nane ya Mpango wa Ruzuku Ndogo wa Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF-SGP), utakaotekelezwa Tanzania Bara na Zanzibar.

Back to Home
Sh5.2 bilioni kufungua fursa za uhifadhi kwa jamii
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
