Loading trending stories…
Siku tatu za mateso ya usafiri Mbeya, wananchi wapaza sauti
Back to Home

Siku tatu za mateso ya usafiri Mbeya, wananchi wapaza sauti

Mwananchi 10 minutes 1 mins read
Siku tatu za usumbufu wa usafiri jijini Mbeya zimeibua kilio kwa wananchi wanaotegemea bajaji kufika kazini, kufanya biashara na kusafirisha bidhaa, huku wakiiomba Serikali kuwashirikisha wadau kabla ya kufanya maamuzi yanayoweza kuathiri shughuli zao za kila siku.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.