Silaha 230, zikiwemo bunduki 15 aina ya rifle, AK 47 tano, shotgun 50, bastola nane, Mk IV mbili na magobole 150, zimesalimishwa hadi Oktoba 19, 2026, katika kampeni ya kitaifa ya kusalimisha silaha zinazomilikiwa kinyume cha sheria.

Back to Home
Silaha 230 zasalimishwa, Polisi kuanza msako Novemba mosi
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
