Akiwa na miaka 14, Nathan Kimaro alitembea kilomita saba kwa miguu kutoka nyumbani hadi eneo la mkutano wa kupokea maoni kuhusu mabadiliko ya Katiba mwaka 2014. Alikuwa na mapendekezo 15 aliyotaka kuyawasilisha mbele ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Back to Home
Simulizi ya mtoto aliyetoa maoni mabadiliko Katiba, sasa mfanyabiashara
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
