Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, ameagiza uchunguzi kufanyika kubaini chanzo cha moto ulioteketeza vibanda 13 vya biashara katika Soko la Mwandiga, huku baadhi ya wafanyabiashara wakihofia huenda tukio hilo limetokana na hujuma.

Back to Home
Sirro aagiza uchunguzi moto ulioteketeza vibanda 13 Kigoma
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
