Loading trending stories…
SMZ yapandisha kima cha chini cha mshahara sekta binafsi
Back to Home

SMZ yapandisha kima cha chini cha mshahara sekta binafsi

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kutoka Sh347,000 hadi Sh450,000 kwa mwezi kwa walio na mikataba ya maandishi, sawa na ongezeko la asilimia 30. Viwango hivyo vitaanza kutekelezwa Januari 1, 2027.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.