Ili kupata uwekezaji zaidi, kuongeza uwazi na uwajibikaji, Serikali imeanza kufanya mapitio ya taasisi zinazokidhi vigezo vya kuorodheshwa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) huku Benki ya Biashara Tanzania (TCB) ikiwa katika hatua za mwisho kuorodheshwa.

Back to Home
Taasisi za umma kuingia Soko la Hisa Dar es Salaam, TCB yaanza
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
