Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Manyara imesaidia urejeshaji wa fedha zaidi ya Sh100 milioni kufuatia operesheni maalum iliyofanyika katika hifadhi ya wanyamapori Burunge iliyoko wilaya ya Babati.

Back to Home
Takukuru Manyara yarejesha Sh100 milioni za Jumuiya ya Hifadhi Wanyamapori Burunge
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
