Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Pwani, imewawezesha wananchi wa Kijiji cha Nyamwage, Wilaya ya Rufiji, kupata huduma ya maji baada ya kurejesha Sh1 milioni walizochangishwa kinyume cha utaratibu.

Back to Home
Takukuru yaokoa Sh30 milioni, yarudisha fedha za maji Pwani
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
