Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) wameweka mikakati ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Nino, ikiwemo kufanya matengenezo ya miundombinu ya umeme, kukagua maeneo hatarishi na kuandaa vifaa vya dharura.

Back to Home
Tanesco, Tanroads walivyojipanga kukabili El Nino
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
