Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeeleza hitilafu katika njia ya kusafirisha umeme ya kilovolti 132 inayopita chini ya ardhi eneo la Gongo la Mboto ndiyo iliyosababisha changamoto ya upatikanaji wa umeme katika maeneo ya Mbagala, Kigamboni, Mkuranga na Kibiti.

Back to Home
Tanesco yaeleza chanzo cha kusuasua umeme kusini mwa Dar
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
