Serikali imeweka mikakati mipya ya kuimarisha kilimo cha machungwa katika wilaya za Muheza, Korogwe na Handeni mkoani Tanga, ikiwemo kuanzisha vituo maalumu vya kukusanyia mazao hayo ili kudhibiti biashara ya mashambani inayosababisha wakulima kupata kipato kidogo.

Back to Home
Tanga kupiga marufuku madalali kununua machungwa shambani
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
