Jumla ya tani 50,547.5, zenye thamani ya zaidi ya Sh164.6 bilioni, zimeuzwa katika minada mitano iliyoendeshwa na vyama vikuu vitano vya ushirika katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma, katika wiki ya kwanza ya msimu wa mauzo wa korosho wa mwaka 2026/2027.

Back to Home
Tani 50,548 za korosho zauzwa wiki ya kwanza ya minada mikoa ya kusini
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
